Tanzania emblem

The United Republic of Tanzania

Property and Business Formalization Program

News

Tathmini ya Urasimishji Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Uyui


Bi. Jesca Majanja - Afisa ardhi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Uyui akifafanua Jambo kwa wamiliki wa Hati Miliki za Kimila(CCROs) na Serikali ya kijiji cha Lutende-Halmashauri ya Wilaya ya Uyui wakati wa zoezi la tathmini ya matumizi ya CCROs ijumaa tarehe 25.03.2022. Tatmini pia inatarajiwa kufanyika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Muleba, Karagwe na Misenyi