Kanusho
Tovuti hii na nyenzo zilizomo, zimetolewa bila udhamini wa aina yoyote, wa kudokezwa, wazi au wa kisheria. Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Mali na Biashara - MKURABITA na menejimenti yake hatawajibika kwa hasara au uharibifu wowote utakaosababishwa na matumizi ya taarifa au nyenzo zozote zilizopatikana kutoka kwenye tovuti hii.