Tanzania emblem

The United Republic of Tanzania

Property and Business Formalization Program

News

MKURABITA YABISHA HODI URASIMISHAJI ARDHI HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA NA MAKAMBAKO


MKURABITA kwa kushirikiana na Halmashauri ya MjiMafinga na Makambako inatarajia kufanya urasimishaji katika mitaa ya Lumwago (Mafinga) na Sekondari (Makambako) zoezi ili linatarajia kuanza tarehe 11 Mei 2022. Aidha, viwanja 1000 kwa kila Halmashauri vinatarajiwa kupimwa katika kipindi cha miezi miwili ambapo wananchi wanaopimiwa maeneo yao watapata hati miliki

MKURABITA kupitia utaratibu wa kujenga uwezo kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa imewezesha Halmashauri tisa (9) tangu mwaka 2008 kufanya urasimishaji unaombatana na uboreshaji wa makazi Mijini