News
MKURABITA YABISHA HODI UANZISHWAJI WA KITUO JUMUISHI NA URASIMISHAJI BIASHARA HALMASHAURI YA MJI WA RUNGWE
MKURABITA kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mji Rungwe inatarajia kuanzisha kituo jumuishi cha urasimishaji na uendelezaji biashara; kutoa mafunzio ya urasimisimishaji na uendelezaji biashara na kufanya urasimishaji wafanyabiashara na waendesha bodaboda/bajaji. Zoezi ili linatarajiwa kuanza kuanzia tarehe 09 Mei 2022.