News
MKURABITA KUKABIDHI VIFAA VYA URASIMISHAJI ARRDHI HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO
Meneja wa Urasimishaji Ardhi Mijini, Bw. Mwesige Ileta akikabidhi vifaa vya urasimishaji ardhi katika Halmahauri ya Mji wa Tunduma ambapo jumla ya viwanjwa 1000 vinatarajiwa kutambuliwa, kupimwa na kumilikishwa.