News
MKURABITA KUJENGA UWEZO KWA WAMILIKI WA HATI HALMASHAURI YA MJI WANEWALA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala akifunga mafunzo yaliyotolewa na MKURABITA juu ya matumizi ya kiuchumi ya hati miliki kwa wakulima waliorasimisha ardhi zao katika kijiji cha Mkulung'ulu, NewalMji tarehe 14/05/22