Tanzania emblem

The United Republic of Tanzania

Property and Business Formalization Program

Frequently Asked Questions

MKURABITA is a Swahili acronym that stands for Property and Business Formalization for Tanzania

MKURABITA Head Offices are located at Nane Nane Grounds - Nzuguni, Dodoma

Kurasimisha ardhi yako kuna manufaa yafuatayo:-

. Kupunguza migogoro ya ardhi

. Kupata mikopo kutoka kwenye Taassi za Fedha

. Kuongeza thamani ya ardhi.

. Kuongeza Usalama wa miliki.

Kurasimisha Biashara kuna manufaa yafuatayo:-

1. Kutambulika na Mamlaka

2. Kupata mikopo kwenye Taasisi za Fedha

3. Kuongeza Usalama wa Miliki

4. Kupanua wigo wa Masoko

5. Utunzaji wa kumbukumbu unasaidia kuwa na taarifa sahihi za Biashara.

Ndiyo