inapakia

Awamu ya Tathmini ya Sekta Isiyo Rasmi

Tathmini ya sekta isiyo rasmi ilifanyika kuanzia Novemba 2004 hadi Septemba, 2005. Tathmini ililenga kubaini mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukubwa wa sekta isiyo rasmi, jinsi sekta inavyoendeshwa, athari zake katika uchumi, vizuizi vya kitaasisi na kisheria katika kurasimisha biashara na rasilimali, na vivutio vinavyosababisha walengwa kuendesha shughuli zao kwenye sekta isiyo rasmi.

Shughuli zilizofanywa na matokeo yaliyopatikana katika awamu hii ni pamoja na;

 • Kueleza kwa ufasaha na kubaini maeneo ya sekta isiyo rasmi, ukubwa, aina, thamani, uhusiano wake na vyombo vya sheria, namna na mifumo yake ya utendaji na wahusika wakuu
 • Kuanishi vikwazo vikuu katika taasisi vinavyosabaisha vizuizi vya kisheria, kiutendaji na kiuchumi katika ushiriki wa wanyonge kwenye mfumo rasmi wa kiuchumi.
 • Kubaini vikwazo visivyo vya kitaasisi vinavyoathiri jitihada za wadau wa sekta isiyo rasmi kurasimisha rasilimali
 • Kuandaa mkakati wa ushirikishwaji wa wadau wote na kampeni za uhamasishaji
 • Kuandaa muundo na msingi utakaowezesha kuboresha mfumo wa sheria uliopo ili kufanikisha malengo ya MKURABITA

Matokeo ya Utafiti
Matokeo ya tathmini ya sekta isisyo rasmi yaliibua mambo makuu mawili:

 • Ilibainishwa kuwa mifumo ya sheria inayoongozana kuisimamia umiliki wa rasilimali na uendeshaji wa biashara ni migumu kutumika kwa wafanyabishara wadogo na wamiliki wa rasilimali. Ufuatiliaji na utekelezaji wa sheria hizo ni mgumu na una ghrama kubwa. Kwa ujumla mifumo na sheria zilizopo haikidhi mahitaji ya wananchi walio wengi (wanyonge), inabagua na haina manufaa katika kujenga jamii yenye mshikamano. Kutokana na vikwazo hivi, wanajamii wengi hawaitumii mifumo hii ya kisheria katika kuendesha shughuli zao kiuchumi
 • Utafiti ulibaini kuwa Watanzania wengi walio katika sekta isiyo rasmi wamebuni mifumo na taratibu zinazowezesha kupata na kumiliki mali, kuanzisha na kuendesha biashara na kuweka kumbukumbu nje ya mfumo rasmi kama njia ya kuepuka na pingamizi na bugudha za mfumo rasmi na kumiliki rasilimali na kuendesha

Matokeo mahsusi ya utafiti yalionyesha kuwa;

 • Asilimia 90 ya Watanzania wanaendesha maisha yao na kujipatia kipato chao kupitia sekta isiyo rasmi.
 • Sekta isiyo rasmi nchini Tanzania ni kubwa sana, ambapo Asilimia 89 ya rasilimali zinamilikiwa nje ya mfumo rasmi
 • Kiasi cha Asilimi 86 ya rasilimali zilizo mjini (ikiwemo Ardhi na majengo) yenye thamani ya Dola za Kimarekani Bilioni 9.4 ziko kwenye sekta isiyo rasmi
 • Kati ya hizo, Asilimia 26 ya Ardhi inayomilikiwa kwenye mfumo usio rasmi ipo mkoani Dar es Salaam, na kati ya hiyo, Asilimia 11 ipo kwenye maeneo yaliyopimwa na asilimia zilizobaki zipo katika maeneo ambayo hayajapimwa.
 • Gharama za kufidia rasilimali na biashara za sekta isizo rasmi mijini ni takribani Billion 11.6 za Kimarekani (sawa na mtaji uliojificha au Mtaji Mfu -Dead Capital)
 • Thamani ya mali zote (Mtaji mfu) uliofungiwa katika sekta isiyo rasmi inakadiriwa kuwa Dola za Kimarekani Billioni 29.3.

© Hakimiliki 2018  MKURABITA. Haki Zote Zimehifadhiwa.

blog lam dep | toc dep | giam can nhanh

|

toc ngan dep 2016 | duong da dep | 999+ kieu vay dep 2016

| toc dep 2016 | du lichdia diem an uong

xem hai

the best premium magento themes

dat ten cho con

áo sơ mi nữ

giảm cân nhanh

kiểu tóc đẹp

đặt tên hay cho con

xu hướng thời trangPhunuso.vn

shop giày nữ

giày lười nữgiày thể thao nữthời trang f5Responsive WordPress Themenha cap 4 nong thonmau biet thu deptoc dephouse beautifulgiay the thao nugiay luoi nutạp chí phụ nữhardware resourcesshop giày lườithời trang nam hàn quốcgiày hàn quốcgiày nam 2015shop giày onlineáo sơ mi hàn quốcshop thời trang nam nữdiễn đàn người tiêu dùngdiễn đàn thời tranggiày thể thao nữ hcmphụ kiện thời trang giá rẻ